NI ZIPI DAWA ZA KUTIBU YA CHEMBE YA MOYO?



Ahsante kwa kutumia Afya yangu App, Majibu ya swali lako "Ni zipi dawa za kutibu chembe ya moyo?" Ni kama ifuatavyo:

Chembe ya moyo(HEARTBURN) ni miongoni mwa matatizo yanayowakumba watu wengi ambapo mtu anapatwa na maumivu moto katika sehemu za chini za kifua ambayo yanasababishwa na mrudi wa asidi kutoka katika tumbo(ACID REFLEX). Baadhi ya chembechembe ya vyakula kutoka tumboni vinalazimishwa kurudi kwenye Oesophagus.

Kutokea kwa ACID REFLUX zaidi ya mara mbili katika wiki inaitwa Gastroesophageal reflux disease(GERD), Hivo chembe ya moyo ni moya ya dalili za GERD.

Dawa zinazotumika katika kutibu chembe ya moyo ni

  • Proton pump inhibitors/PPI
  • Antacid na 
  • Histamines -2 Blockers

 

INFOGRAPHICS