MATIBABU YA BAWASIRI(Hamorrhoids)



Kijoitokeza kwa sehemu ya mishipa katika sehemu ya haja/anus kwa ndani au kwa nje huitwa Bawasiri(Haemorhoids), Bawasiri ina waathiri sana watu wenye umri kuanzia miaka 50.

Zipo aina mbili za bawasiri , Bawasiri inayojitokeza kwa ndani(internal Haemorrhoids) na bawasiri ya nje(Externa Haemorrhoids)

Dalili za ugonjwa wa bawasiri (haemorrhoids)

  • Maumivu sehemu ya haja/anus
  • Miwasho kuzunguka anus
  • Maumivu wakati umekaa
  • kujitokeza kwa lump/uvimbe sehemu ya anus inayo ambatana na maumivu
  • Kutokwa na haja kumbwa pasina kuizuia
  • Kutokwa na damu sehemu ya haja. 

Matibabu ya bawasiri

Matibabu ya bawasiri yanahusisha kupunguza maumivu,Matumizi ya vyakula vya nyuzinyuzi(Fiber supplement)

Tiba ya nyumbani(Home remedies)

Tumia maji ya vuguvugu kujisafisha kila siku na epuka kutumia sabuni, Tumia dawa za kupunguza maumivu kama vile Acetaminophen,ibuprofen na aspirin, Soaking anus na Sitz bath kwa muda wa dakika 10-15 kila siku.

Kutumia dawa za kupaka Hydrocortisone au Haemorrhoid cream.

Matibu ya kitabibu(Medical procedures)

Kama matibabu ya nyumbani hajafanikiwa mganga wako anaweza akatumia mbinu za kitaalamu kwa ajili ya kuponya.

Procedures are: